Exodus 39:1

Mavazi Ya Kikuhani

(Kutoka 28:1-14)

1 aKutokana na nyuzi za rangi ya buluu, ya zambarau na nyekundu akatengeneza mavazi yaliyofumwa kwa ajili ya kuhudumu katika mahali patakatifu. Pia akamshonea Haruni mavazi matakatifu, kama Bwana alivyomwagiza Musa.

Kisibau

Copyright information for SwhKC